Wazo Hill Saccos Ltd
News & Updates
Stay Updated with Wazo Hill SACCOS Ltd
Be the first to know about new services, opportunities, and updates tailored for our members.
✨ SEMINA MAALUM YA WAZO SACCOS YAFANA! ✨
Jumapili, tarehe 30/08/2026, wanachama wa WAZO SACCOS walipata fursa ya kushiriki Semina Maalum iliyofanyika Ngome Hall, Sinza, iliyolenga kujenga maarifa na kuboresha maisha binafsi na ya kiuchumi.
📚 Mada zilizojadiliwa zilihusisha:
❤️ Mahusiano
🧠 Afya ya Akili
💰 Uchumi
🎤 Semina iliwezeshwa na Dr. Chris Mauki, ambaye alitoa maarifa, uzoefu na mtazamo chanya kwa washiriki.
🙏 Tunawashukuru wanachama wote kwa ushiriki wao na kujitoa kwa ajili ya kujifunza na kukua pamoja.
WAZO SACCOS — Pamoja Tunajenga Kesho Bora! 🤝✨
#WazoSACCOS #Semina #DrChrisMauki #Mahusiano #AfyaYaAkili #Uchumi #TujengePamoja