Mkopo wa Bima
- Kiwango cha juu cha mkopo 15mil.
- Riba ya mkopo wa Biashara ni 14.4%.
- Muda wa juu wa marejesho ya mkopo ni miezi 60.
- Mwanachama ana uhuru wa kukopa kiwango ambacho hakizidi mara tano ya Akiba yake.
- Kiwango cha juu cha mkopo kitategemea uwezo wa mshahara wa mwanachama husika na kwa wastaafu kitategeme 75% jumla ya Akiba na Hisa zake.
Stay Updated with Wazo Hill SACCOS Ltd
Be the first to know about new services, opportunities, and updates tailored for our members.