Mkopo Binafsi
- Kiwango cha juu cha mkopo 30mil.
- Riba ya mkopo wa Binafsi ni 13.5%.
- Muda wa juu wa marejesho ya mkopo ni miezi 36.
- Kiwango cha juu cha mkopo kitategemea uwezo wa mshahara wa mwanachama husika na kwa wastaafu kitategeme 75% jumla ya Akiba na Hisa zake.
Stay Updated with Wazo Hill SACCOS Ltd
Be the first to know about new services, opportunities, and updates tailored for our members.